Kwa Migahawa ya Tanzania

Simamia Mgahawa Wako
Kutoka Simu

POS, Stoku, Gharama, na Faida yako halisi — yote katika mfumo mmoja rahisi. Hakuna karatasi, hakuna Excel, hakuna kubahatisha.

Manage your restaurant from your phone. Sales, stock, expenses, and real profit — all in one system.

Hakuna kadi ya benki · Jisajili kwa namba ya simu · M-Pesa, Tigo, Airtel, Halo

FoodOS09:41

Habari, Mama Salma

Leo - Dashboard

Mapato

TZS 450K

+12%

Gharama Bidhaa

TZS 180K

40%

Matumizi

TZS 35K

Gesi, Ufungaji

Faida Halisi

TZS 235K

52% margin

Mauzo - Wiki Hii

Ju
Ju
Al
Al
Ij
Ju
Leo

Stoku Chini: Mchele 3kg, Nyama 2kg

Dashboard
POS
Stoku
Ripoti

M-Pesa

Malipo Papo

Idhini

2 Zinasubiri

Offline

Inafanya Kazi

Kila Kitu Unahitaji, Pahali Pamoja

Everything you need to run your restaurant — in one place

POS - Pata Oda

Menu grid, tap to order, malipo ya M-Pesa, Tigo, Cash — haraka na rahisi

Stoku - Fuatilia Bidhaa

Ingiza bidhaa, toa, hariri — yote chini ya idhini ya mkurugenzi

Faida Halisi

Mapato - Gharama Bidhaa - Matumizi = Faida yako halisi kwa wakati halisi

Ripoti za Kila Siku

Mauzo, gharama, faida — kila siku, wiki, mwezi kwenye simu yako

Mfumo wa Idhini

Kila badiliko la stoku linahitaji kibali — hakuna wizi

Inafanya Kazi Offline

Hata wakati wa kukatika umeme — mfumo unafanya kazi

Watu 3, Mfumo 1

3 people, 1 system — replaces 6-7 staff members

Mkurugenzi

Owner

Angalia faida, thibitisha stoku, simamia kutoka nyumbani

Msimamizi Stoku

Stock Manager

Ingiza bidhaa, toa, hariri — yote yanahitaji idhini

Karani

Cashier

Pata oda, pokea malipo ya M-Pesa na Cash

Bei Rahisi

Simple pricing — start free, upgrade when you grow

Bure(Free Trial)

TZS0

Siku 14

  • Mtumiaji 1
  • Vipengele vyote
  • Ripoti kamili
  • Siku 14 za bure
Anza Bure
MAARUFU

FoodOS

TZS65,000

/mwezi (~$25)

  • Watumiaji 3
  • Mgahawa 1 / Kituo 1
  • Oda zisizo na kikomo
  • Ripoti kamili
  • SMS alerts
  • Mfumo wa idhini
  • Msaada wa kipaumbele
Chagua Mpango

Anza Leo — Bure Kabisa

Jisajili kwa sekunde 30. Hakuna kadi ya benki. Hakuna mkataba.

Sajili Mgahawa Wako